Nataka kufunga kisimbuzi cha Canal Plus Tanzania

Thabit Karim

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
375
682
Habari ndugu naombeni msaada wa kufunga King'amuzi cha canal plus. Niko Tanzania. Nasikia vifurushi hasa vya mpira ni bei nafuu kuliko Dstv

Naombeni taratibu za kukinunua yaani nakinunulia wapi, bei, mafundi na utaratibu wa malipo na Chanel zinazopatikana.

Niko Moshi
 
Njoo PM ntakupa mdau wa hizi kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…