leprincess
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 282
- 450
Habari wanajamvi.
Naomba kujua Jinsi ya kuomba kufundisha certificate / diploma in education
Naomba kujua Jinsi ya kuomba kufundisha certificate / diploma in education
Huwa unaaply/ unachaguliwa direct kama wanavofanya kwa walimu. Wa sekondari na primary?Uwe umesomea ualimu/elimu
Ni typing error na nilishindwa ku -edit baada ya kukuta tayar nimeshapost. Inshort ungejibu kwa ustaarabu ningekuelewa zaidi.Na si vibaya kuacha kucomment /kujibu uzi ambao hauko interest nao bila kucommentKwa kukosea kwako tu kuandika neno Tutor na ukaandika Tuitors hapo juu katika Headline yako tusipotezeane muda na usituchoshe humu Mkuu kwani ukweli ni kwamba huna sifa ya kuwa Mkufunzi / Mhadhiri / Mwalimu hivyo ningekushauri tu tafuta shughuli nyingine tafadhali. Mwalimu au Mkufunzi au Mhadhiri anapaswa kuwa makini mno na mfano wa kuigwa kwa wale anaowapa maarifa. Kila la kheri!
Ujauhaiki= hujauhakiki.Intellectual yoyote hufanya proof reading kabla ya kutuma jambo. Kubishana Kwako nami ndiyo kunazidi kuonyesha jinsi ulivyo wa hovyo hovyo na pengine hilo tatizo nisingelisemea basi ungeendelea nalo hadi kuwaambukiza na Wanafunzi wetu na wao kuwa wa hovyo hovyo kama Wewe Mwalimu / Mkufunzi / Mhadhiri wao. Ulikuwa unaharakia nini kutuma uzi wakati hujaukiki? Kwani kuna Mtu ambaye labda ulikuwa unashindana nae kuanzisha uzi hivyo ukawa unataka kumuwahi? Mijitu mingine bhana!
Ndio Tanzania yetu ilivo. Hakuna mkamilifu zaidi ya Allah peke yake.Ujauhaiki= hujauhakiki.
Asantekwa waraka mpya unatakiwa kuwa na masters huska.