Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 336
- 817
Kutoka CRDB kwenda NMB maana Kijiji nilichopo hamna Benki Wala wakala wa CRDB kwahiyo gharama ya kutoa pesa ni mara mbili.Lazima utume kwenye laini ya simu wakate Kisha utoe kwenye simu wakate.
Naombeni kujua inachukua muda gani kubadili akaunti Toka benki Moja kwenda nyingine na je nikibadilisha sasa hivi Kuna uwezekano nikakosa mshahara wa mwezi huu au ni safe and sound process.