Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
Habari wakuu,
Nahitaji kuapdate simu yangu ya Blackbery torch 9800.
Nimeunganisha kwenye PC na ninatumia modemu ya Zantel.
Kila nikifuata hatua za kuapdate inaload na mwishowe inaleta message hii.
''An errror occured while downloading software for your device. Please verify your internet connection or try again later, If the problem persist ''
Naomba mwongozo nakosea wapi katika hili.