Nataka kuanzisha huduma ya masaji through mobile Kwa wanawake tu

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,916
24,674
Nataka nianze kufanya huduma ya kuwafanyia massage wanawake,Huduma itakuwa ni through mobile ofisi mkononi kwangu,

Kama ambavyo wasafisha kucha wanatoa huduma nami nataka kuitoa hiyo Huduma Kwa kina Dada/Wanawake nyumbani au sehemu yeyote wanayoitaji, ukitaka huduma unanipigia simu nakuletea ulipo

Ninachoitaji ni kujua tu vifaa muhimu vinavyoitajika kwenye huduma hii ya massage,

Kwangu nitamtafuta mtu anitengenezee Na website plus printed tishirt nataka iwe modern Siyo local.

Cc_Zero IQ
 
Usisahau kulipa kodi tu. . . .
Kila la heri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom