Situmii instaNenda IG madalali wamejaa huko
Kwa umaarufu upi ulio nao?Situmii insta
AiseeKwa umaarufu upi ulio nao?
Karibu Sinza wakongwe tupoWakuu habari
By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza).
Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi.
Ninahitaji kupata gheto maeneo ya Sinza zifuatazo
1. Sinza Kivulini
2. Lufungila hadi kwa mama ngoma
3. Sinza Kumekucha
4. Palestina
5. Sinza ya Law school (sijui ndio Sinza A)
Ghetto liwe self au master, nikipata ghetto lenye sehemu ya jiko itakuwa poa sana.
Iwe ni mtu anaishi ila anampango wa kuhama au mtu wa kitaa mwenye kujua upatikanaji wa room anicheki PM au kwenye comment.
Karibuni kwa ushauri, mawazo & connection.
KwaniniUkikaa Sinza, hutokaa ujenge!
Sina umaafu ndio maana sipo insta, una lingine?Kwa umaarufu upi ulio nao?
Vitoto vya chuo hivyo 😹Aisee
Sio mambo yangu hayo MkuuHongera, uwe na mabox mengi ya rough rider, vinginevyo aga kabisa huko unapotoka, lolote linaweza kutokea.
Madalali wezi sana, siwahitaji, bora nipate mtu wa mtaani nimpe ya usumbufu.Upewe namba ya dalali au?
Ahsante Mkongwe, fanya kunipa connection ya room nianze maisha huko.Karibu Sinza wakongwe tupo
Mwisho 150kBei gani umeweka budget mkuu.
😅 Sawa nitazingatia.Hakikisha ukishahamia ukiingia kulala ustoke hata kwenda kununua vocha mana utarud umelewa
Wenzio walisema hivyo hivyo, Ila automatically wakajikuta wameingia kwenye system 😀Sio mambo yangu hayo Mkuu