Nataka kuandika kitabu

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,270
Wakuu

Zile takwimu za sensa tumepigwaaaa,, alisikika mlevi mmoja kilabuni sema tuachane nae.

Wakuu mi kuna jambo limekuwa likiniwazisha sana, hivi hizi kesi za kuuwana na wengine kujiua Kila kukicha kisa mapenzi shida ni nini hasa, why??,,

Sawa ulimgharamia sanaa, ulimsomesha, lakini uiondoe roho yake seriously??

Ndio ulimpenda sana leo kaenda Kwa mwingine ndio ujiondoe roho yako, come on, what the hell!!

Sasa mimi nimewaza niandike kitabu, title itakuwa "HOW TO MOVE ON"(Tunaweza ku-suggest jina lingine ila lengo ni kuelimisha watu jinsi ya kuvuka salama kipindi Cha mpito Cha kutendwa)

Nnachotaka kutoka kwenu ni mawazo na ideas mbalimbal ambazo Kwa namna moja ama nyingine zinaweza kumsadia mtu akasahau maumivu ya kutendwa au akaishi na hayo maamuzi Kwa usalama.

Mimi ntachukua hayo mawazo na kuyakusanya katika muundo wa kitabu, jina la mwandishi litakuwa ni la jukwaa letu pendwaaa MMU na ntakuja ku-share hapa soft copy muuisambaze kadri mtavyoweza.

Karibuni jamani mlete mawazo yenu kizazi kinaangamia hiki Kwa kukosa maarifa.

#OneDayYouWillBeGone
Dr criminal
 
Kijana lazima uweke akili kichwani mwako apa Duniani Kuna Kila aina ya binadamu Kuna Binadamu magaidi,Kuna Binadamu mashetani,Kuna Binadamu wachawi,Kuna Binadamu watakatifu ,Kuna Binadamu wafitni,Kuna Binadamu majambazi na wote wapo kweny jamii zetu kwahyo tambua wakati unafanya makosa kwakua John ulimkosea alikusamahe basi ukimfanyia kosa IBRA atakupa msamaha Kuna wengine mioyo Yao inawaza Shari tu mda wote .
 
Vitu vyote tumevijua kulingana na ufahamu wetu. Tunaweza kuongoza ufahamu wetu kujiweka mbali na mambo yanayochochea kukosa amani na faraja. Jipende wewe kwanza, jifanyie mambo wewe kwanza ukitosheka ndio wafanyie wengine.

Kama ni kusomesha mpenzi, jisomeshe wewe kwanza, kama ni kumgharamia, jigharamie wewe kwanza ukitosheka ndio gharamia wengine. Kama kumpa mtu muda wako jipe wewe kwanza huo muda ukitosheka mpe na yeye. Usijibane kisa mtu fulani hii ndio inakuja kua majuto na kuleta uasi

Hakuna anayejua alikua wapi kabla ya maisha, hakuna anayejua atakua wapi baada ya maisha.
 
Thanks for your contribution mkuu
 
Kijana lazima uweke akili kichwani mwako apa Duniani Kuna Kila aina ya binadamu Kuna Binadamu magaidi,Kuna Binadamu mashetani,Kuna Binadamu wachawi,Kuna Binadamu watakatifu ,Kuna Binadamu wafitni,Kuna Binadamu majambazi na wote wapo kweny jamii zetu kwahyo tambua wakati unafanya makosa kwakua John ulimkosea alikusamahe basi ukimfanyia kosa IBRA atakupa msamaha Kuna wengine mioyo Yao inawaza Shari tu mda wote .
Thanks mkuu
 
Wakuu

Zile takwimu za sensa tumepigwaaaa,, alisikika mlevi mmoja kilabuni sema tuachane nae.

Wakuu mi kuna jambo limekuwa likiniwazisha sana, hivi hizi kesi za kuuwana na wengine kujiua Kila kukicha kisa mapenzi shida ni nini hasa, why??,,

Sawa ulimgharamia sanaa, ulimsomesha, lakini uiondoe roho yake seriously??

Ndio ulimpenda sana leo kaenda Kwa mwingine ndio ujiondoe roho yako, come on, what the hell!!

Sasa mimi nimewaza niandike kitabu, title itakuwa "HOW TO MOVE ON"(Tunaweza ku-suggest jina lingine ila lengo ni kuelimisha watu jinsi ya kuvuka salama kipindi Cha mpito Cha kutendwa)

Nnachotaka kutoka kwenu ni mawazo na ideas mbalimbal ambazo Kwa namna moja ama nyingine zinaweza kumsadia mtu akasahau maumivu ya kutendwa au akaishi na hayo maamuzi Kwa usalama.

Mimi ntachukua hayo mawazo na kuyakusanya katika muundo wa kitabu, jina la mwandishi litakuwa ni la jukwaa letu pendwaaa MMU na ntakuja ku-share hapa soft copy muuisambaze kadri mtavyoweza.

Karibuni jamani mlete mawazo yenu kizazi kinaangamia hiki Kwa kukosa maarifa.

#OneDayYouWillBeGone
Dr criminal
wewe ni dini gani mkuu?
 
Kitabu ni cha Kiswahili au Kiingereza?
Ni Technical au Fiction?
Je unapanga kupublish au bure?
Kama ni cha Kiingereza, Technical na unapanga kupublish basi suggestion ya interesting title itakayomfanya msomaji makini kuwa interested na kununua kitabu ni hii hapa:
The definition of love and the decaying of obsession.
Kama ni Fiction na bure basi hiyo title sio mbaya na itafaa kwa wasomaji average ambao sio wapenzi wa kusoma vitabu lakini itakuwa catchy na interesting kwao sababu inasound of simplicity ndani yake.
 
Back
Top Bottom