Kampuni kama Gsmarena hadi leo ina struggle kupata verification. Hii issue haijawahi kuwa na Formular inaweza chukua mwezi mpaka miaka.
Hakikisha tu una vitu vya kuthibitisha umaarufu wako na uhalali wako, uwe na kitambulisho, documents za serikali kama Tin, kama umeandikwa kwenye Gazeti ambatanisha, Wikipedia Articles, website yako, na mambo mengine ambayo unahisi Facebook wanatakiwa wayajue kwamba wewe ni huyo unaetaka awe verified.