Kelvin Lewis01
Member
- Oct 11, 2021
- 26
- 15
Siku hizi wamebadili utaratbuKama wenzio wamekwisha kugraduate,sio lazima ulifanye mwaka huu,hata mwakani utaweza kulifanya na haiitajiki cha barua yoyote coz sio lazima uunge isipokua miaka miwili tu unayo ya kuliclear hilo somo . halafu ada ya nini tena unatafuta wakati kinachotakiwa ni direct cost tu ?
Yeah mwenyew nliambiwa ivyo.. vipi mkuu kwaio haina haja ya kuandika barua kwajili ya kupostpone sindioSiku hizi wamebadili utaratbu
Unailipia course uliyo carry
Ni tofauti na zamani
Ila kama n course moja itakua bei chee tu kwanini usiunganishe?Yeah mwenyew nliambiwa ivyo.. vipi mkuu kwaio haina haja ya kuandika barua kwajili ya kupostpone sindio
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hio bora upige sahizi ukikaa kitaa ujue ndio utapotea kabisa😅
Hahaha kakiko au n mwanzalima??
Pole sana mkuu, hio algebra nusra ni kiache chuo