G Gthedon Member Joined Jun 8, 2014 Posts 22 Reaction score 4 Aug 17, 2014 #1 Nataka kokoto kwa ajili ya rinta baada ya msingi na rinta yenyewe juu,nijuze size hipi inafaa nipo Kongowe Mbagala.
Nataka kokoto kwa ajili ya rinta baada ya msingi na rinta yenyewe juu,nijuze size hipi inafaa nipo Kongowe Mbagala.
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Aug 19, 2014 #2 Nenda Mji Mwema kigamboni
G Gthedon Member Joined Jun 8, 2014 Posts 22 Reaction score 4 Aug 19, 2014 Thread starter #3 Wanauzaje mkuu
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Aug 19, 2014 #4 Wanauza kwa vifungu inaweza ikawa elfu 60 then unakodisha gari ya kubeba mzigo
Mtanganyika JF-Expert Member Joined Jul 18, 2007 Posts 1,601 Reaction score 961 Aug 19, 2014 #5 Nyumba ya chini au gorofa moja agiza kokoto za kawaida gari ni kati ya 170K -180K
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Aug 19, 2014 #6 Size ni half inch ndio poa
G Gthedon Member Joined Jun 8, 2014 Posts 22 Reaction score 4 Aug 19, 2014 Thread starter #7 Ok vizuri kumbe kunaumuhimu wa kufika huko coz watu wa gali walisema mafungu yanauzwa elfu 70. Ni nyumba ya chini
Ok vizuri kumbe kunaumuhimu wa kufika huko coz watu wa gali walisema mafungu yanauzwa elfu 70. Ni nyumba ya chini
G Gthedon Member Joined Jun 8, 2014 Posts 22 Reaction score 4 Aug 19, 2014 Thread starter #8 Kuna umuhimu gani wa kuweka rinta kwenye msingi. Coz kuna watu naona watu wanaweka na nondo moja so sioni ubora wake.
Kuna umuhimu gani wa kuweka rinta kwenye msingi. Coz kuna watu naona watu wanaweka na nondo moja so sioni ubora wake.
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Aug 19, 2014 #9 Mkanda ni muhimu kwenye msingi. Weka nondo tatu au nne. Ila kama una uwezo mwaga jamvi.
G Gthedon Member Joined Jun 8, 2014 Posts 22 Reaction score 4 Aug 19, 2014 Thread starter #10 Ntajipanga kuweka rinta lakin wengine wanadai inatekemeana na eneo sehemu nyingine si lazima
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Aug 19, 2014 #11 Gthedon said: Ntajipanga kuweka rinta lakin wengine wanadai inatekemeana na eneo sehemu nyingine si lazima Click to expand... Ni kweli. Na uwezo pia. Kama mfuko unaruhusu weka achana na suala la eneo. Unachokitaka ni kuimarisha nyumba yako.
Gthedon said: Ntajipanga kuweka rinta lakin wengine wanadai inatekemeana na eneo sehemu nyingine si lazima Click to expand... Ni kweli. Na uwezo pia. Kama mfuko unaruhusu weka achana na suala la eneo. Unachokitaka ni kuimarisha nyumba yako.