Nataka Kiwanja

Nataka Kiwanja

Wajumbe naomba mtu yoyote mwenye connection nzuri nataka kiwanja maeneo ya Kibaha kwa Mfipa kwanzia Sqm 700
Unataka kwa mfipa tu? maeneo ya Sofu unapata kiwanja kizuri tu
 
Kipo kwa mfipa,km 2 ,,ukubwa huo milioni 5.
Km 4 milioni tatu na nusu
 
Wajumbe naomba mtu yoyote mwenye connection nzuri nataka kiwanja maeneo ya Kibaha kwa Mfipa kwanzia Sqm 700
viwanja kuanzia pangani ,Lulanzi, maili moja hadi misugu sugu piga 0713 039875
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom