Vuitton JF-Expert Member Dec 19, 2016 351 329 Mar 1, 2017 #1 Wakuu nataka Kajiunga na VETA ni fani ipi yenye soko kwa sasa ?
Mosahe Member Feb 22, 2017 67 33 Mar 1, 2017 #2 INGELIKUWA FANI HII IPO NINGEKUSHAURI UKASOMEE KUWA MKUU WA MKOA AU WILAYA
Vuitton JF-Expert Member Dec 19, 2016 351 329 Mar 1, 2017 Thread starter #3 Mosahe said: INGELIKUWA FANI HII IPO NINGEKUSHAURI UKASOMEE KUWA MKUU WA MKOA AU WILAYA Click to expand... Mkuu Usifanye kitu kufulaisha Watu ni vizuri Kama unashauri Unipe
Mosahe said: INGELIKUWA FANI HII IPO NINGEKUSHAURI UKASOMEE KUWA MKUU WA MKOA AU WILAYA Click to expand... Mkuu Usifanye kitu kufulaisha Watu ni vizuri Kama unashauri Unipe
FIRAUNI JF-Expert Member Dec 12, 2016 266 355 Mar 1, 2017 #4 Vuitton said: Mkuu Usifanye kitu kufulaisha Watu ni vizuri Kama unashauri Unipe Click to expand... Sasa si umepewa ushauri mkuu..!!
Vuitton said: Mkuu Usifanye kitu kufulaisha Watu ni vizuri Kama unashauri Unipe Click to expand... Sasa si umepewa ushauri mkuu..!!
FIRAUNI JF-Expert Member Dec 12, 2016 266 355 Mar 1, 2017 #5 Ok ...Mimi nitakushauri usomee Welding & decoration Inalipa sana kipindi hiki ...