Nataka gari Vitz, Starlet, Passo, Rav 4 na IST

Nataka gari Vitz, Starlet, Passo, Rav 4 na IST

jnia

Senior Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
112
Reaction score
37
Mwenye gari tajwa apo na mwenye uwezo wa kupokea malipo ya taratibu tutafutane.
 
Malipo ya taratibu unaruhusiwa lakini gari nitakupatia utakapomaliza deni lako.

Kuna Rv4 mil 13
 
safi kama malipo ya taratibu yanaruhusiwa itakuwa poa sana. sema bei kidogo iwe ya magufuri sio jakaya....
 
Back
Top Bottom