Nataka gari mpya budget ni ml.8.5

Wapendwa nawasalimu
Nadhani ujumbe unajitosheleza hapo juu
Naitaji gari yeyote mpya budget ni kama inavyoonekana
Cc 900 hadi 1400
Used toka japan
sorry Kwan kuingilia thread,nahitaj rav 4 old model 5 doors, ranging maroon Kwan black.
 
Nenda kwenye Yard za magari zimejaa sana mjini hapa utapata huko
 
Wapendwa nawasalimu
Nadhani ujumbe unajitosheleza hapo juu
Naitaji gari yeyote mpya budget ni kama inavyoonekana
Cc 900 hadi 1400
Used toka japan
Mpya? Au mitumba toka moja kwa moja japani?
 
Modes futeni tu huu uzi maana umevamiwa na waswahili
Sio uvamizi..hii ndio JF kabla hujaweka jambo lako humu kagua kwanza kabla hujagusa kitufe cha OK
 
Gari mpya kwa 8m, labda uwe unaishi pale pale Japan
 
Gari mpya kwa 8m, labda uwe unaishi pale pale Japan
ANAWEZA KWENDA TOYOTA MOTORS AU NISSAN AU CMC HAPA DAR ATAPATA LAKINI SIYO KWA BEI HIYO

OVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…