Nataka Computer Monitor

Nataka Computer Monitor

Earthworker

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
83
Reaction score
30
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata Monitor ya komputer kuanzia inch 24 na kuendelea ani PM, ila iwe na uwezo wa kutumika kama TV pia kwa kuunganisha King'amuzi na DVD Player
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Mkuu si ununue tu tv flat screen za kisasa ambazo zina port ya vga na unaweza kuitumia kama monitor. mimi natumia TV sony inch 32
 
Kaka...tv yangu ina port za hdmi.. naweza kuzitumia hizo kwa kuunganisha na cpu??!!.... msaada plz.
 
As
Mkuu si ununue tu tv flat screen za kisasa ambazo zina port ya vga na unaweza kuitumia kama monitor. mimi natumia TV sony inch 32
asantee mkuu kwa ushauri wako itabidi nifanye hivyo
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Back
Top Bottom