Hapo Hata Nami 🙄🙄🙄🙄🙄Nyumba ya urithi unataka kuchukulia mkopo?
Benki bwana. Ukiwa na biashara ili wakupe mkopo wantaka dhamana, ukiwa na dhamana na unataka mkopo wanataka biashara. Yaani ili ukope benki unatakiwa kuwa na dhamana na biashara. Ni ngumu sana kwa anayeanza. Walau ingetokea benki inakopesha wenye dhamana na wanataka kuanza business.Kwanza hakuna Bank watakupa mkopokwa biashara inayoanza.
Biashara ilishaanza, kuna baadhi order pia zipo kazini..lakin haijasajiliwaSikumbuki niliona wapi, ila wanasemaga kwamba pesa ya kuanzia biashara(mtaji) make sure unaitafuta cash sio kwa kukopa sababu kwenye biashara inaweza tokea bahati mbaya ikaenda sivyo ndivyo ukapata hasara. Ikitokea hivyo ule mkopo utaulipa na nini? Bank hawana mchezo watakubebea hiyo nyumba.
nikweliBenki bwana. Ukiwa na biashara ili wakupe mkopo wantaka dhamana, ukiwa na dhamana na unataka mkopo wanataka biashara. Yaani ili ukope benki unatakiwa kuwa na dhamana na biashara. Ni ngumu sana kwa anayeanza. Walau ingetokea benki inakopesha wenye dhamana na wanataka kuanza business.
Mkopo utapata dhamana si unayo?Biashara ilishaanza, kuna baadhi order pia zipo kazini..lakin haijasajiliwa
Wao utetezi wao ni kwamba wanataka ulipe huo mkopo kutokana na hiyo biashara na sio wachukue dhamana yako (nyumba au kiwanja)Benki bwana. Ukiwa na biashara ili wakupe mkopo wantaka dhamana, ukiwa na dhamana na unataka mkopo wanataka biashara. Yaani ili ukope benki unatakiwa kuwa na dhamana na biashara. Ni ngumu sana kwa anayeanza. Walau ingetokea benki inakopesha wenye dhamana na wanataka kuanza business.
mkuu, hivyo nitumie mbinu gani nyingine nifanikishe wazo langu..Wao utetezi wao ni kwamba wanataka ulipe huo mkopo kutokana na hiyo biashara na sio wachukue dhamana yako (nyumba au kiwanja)
Na biashara wanataka uwaoneshe mahesabu yaliyosimama na yanayoonyesha matumaini...ndio maana ukiwaambia unaanza "wanakupandishia vioo".