Salam Wadau
Najitokeza hapa jukwaani kutafuta mwanamke ambae tukielewana aje kuwa mke wangu, awe mnene, rangi yoyote, elimu kuanzia kidato cha 4 umri kati ya 35-45. kama ana mtoto asizidi mmoja. Asanteni

Mnawavunja wadada wa watu mioyo yao. Kuna looser mmoja aliwasiliana na mdada humu na kuingia mtini. Hebu kuwa serious. Manake mtaa unaoishi, classmates wa ndugu zako, ndugu wa wafanyakazi wenzio, mahali unaposali. Koote umekosa mwanamke mnene umtokee?