babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.
kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.
umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.
kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.
Kwani mama yako hakukulea? Maana najuwa kulelewa mara moja tu, utotoni..umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.
kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.
Kwanini usitafute basha akuweke ndani kabisa, usahau shida za dunia.
Utampata tu ndugu yangu. Kumbuka "A MAN WHO STANDS FOR NOTHING WILL FALL FOR ANYTHING" take care
Tafuta mwanaume basha atakuoa jumla, mwanamke akikuchoka atakufukuza mapema sana.
nyie mkatisheni tamaa,ila najua humu masunguratope na mabwanyenye ambao mnawakwepa watamtafuta.......wewe babumapunda,unaweza ukampata lakini siku ya kukutana naye ukakimbia mwenyewe
kula kulala halafu unatafuta mke! watu kama nyinyi ni janga la taifa hapa hutafuti wa kukulea ila wewe unatafuta wa kukulisha.
Ukikosa kajimama sema vijibaba tupo .. Tutakuweka ndani .. Si unaweza kupika na kuosha vyombo na kukuna nazi?
Saizi yako wewe ni popobawa ndiye anayeweza kukulea vema.
Duh!! Hii kali ya mwaka...mm na pita!!..