Natafutai rafiki wa kike

Natafutai rafiki wa kike

StBico

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
15
Reaction score
2
Hello wapendwa,

Natafuta rafiki wa kike mwenye upeo wa kimaendeleo awe na age kati ya miaka 20-25, aliye tayari anifollow in box ili Tuwasiliane.Thanx to you all
 
StBico

Una umri gan?
Unaishi wapi?
Unajishugulisha na nini?
Je wewe mwenyewe upeo wako wa kutengeneza hesabu nzuri upo?!.
Na kwanini wa kike? Au kuna la zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Rafiki tu. Mbona una dada zako wa ukoo na majirani. Ya nini mpaka uje huku?
 
Nakutakia safari njema.Mungu atakupa kila unalolitaka hata Jambazi utampata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom