Natafuta

bhasi waambie ka unatiba ya ule ugonjwa wao!
gari,ATM nk

Mbona unanitisha ndugu, mi sitaki mwanamke wa hivyo, nataka mwanamke wakupendana naye sio kupenda ATM, GARI, NYUMBA NK
 
Kuna moja niko nae hapa kitaa,anauliza unataka anaesoma KM ngp??
 
Mbona unanitisha ndugu, mi sitaki mwanamke wa hivyo, nataka mwanamke wakupendana naye sio kupenda ATM, GARI, NYUMBA NK

Mwambie ani pm niongee naye
 
Subiri umalize mtihani wa darasa la saba kesho kutwa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…