natafuta

mbeya yetu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
487
Reaction score
102
jamani wana cc nisikukadhaa zimepita nilikua nikiana thread mbalimbali nying zisemazo ni memmiss mke wangu khaa kuona vile nikajua kumbe kuna kuoana humu jf .Hahaha sasa basi NA MIMI NATAFUTA MKE JAMANI...
 
Umeshabalehe ? by the way !
Coz isijekua unatafuta tai wakati umevaa kanzu !
 
jamani wana cc nisikukadhaa zimepita nilikua nikiana thread mbalimbali nying zisemazo ni memmiss mke wangu khaa kuona vile nikajua kumbe kuna kuoana humu jf .Hahaha sasa basi NA MIMI NATAFUTA MKE JAMANI...

mwanaume wajichekeesha......b.t.w ....ngoja waje wenye uhitaji
 
Buraza wataka mke weye?jaribu kuhamishia bandiko lako kwa jirani mmu
 
hv wewe Judgement umebalehe au umeolewa lol

Nahitaji ndoa ya jinsia moja kwa sasa, uko tayari kufunga ndoa na mie ?
Wake zangu wawili wameni allow kufanya hivyo !
Na kigori wa kiume ndiye atakaepewa umuhimu zaidi kuliko zee zoefu la kiume .
Ziada ya hapa nitakutembelea pm unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
unaonesha u mtoto kacheze na wenzio hapakufai hapa

Kumbe na wewe umeliona hilo!
Nadhani angesubiri akaotesha mchicha wa chini kwanza , huu wa juu hata Infants wanao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…