Natafuta X2(nokia)_nipo Geita.!

Natafuta X2(nokia)_nipo Geita.!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
751
Reaction score
656
Mimi nipo hapa Kalangalala,Geita! Kama kuna mtu anauza simu aina ya X2 tujulishane,natafuta ya kununua(used)! Kama inapatikana ,naomba kujulishwa kwa nambari 0759947397
 
Mimi nipo hapa Kalangalala,Geita! Kama kuna mtu anauza simu aina ya X2 tujulishane,natafuta ya kununua(used)! Kama inapatikana ,naomba kujulishwa kwa nambari 0759947397

Kwanini unataka used? kwani dukani zimeisha? anyway mimi ninayo nilinunua mwaka 2011 kama sikosei. Unaitaka kwa shilingi ngapi? panda dau naweza kukuuzia.
 
Kwanini unataka used? kwani dukani zimeisha? anyway mimi ninayo nilinunua mwaka 2011 kama sikosei. Unaitaka kwa shilingi ngapi? panda dau naweza kukuuzia.
we niambie unaweza nifanyia kiasi gani,na kama kuja kuiona,nipo tayari! Nipo ver serious,niambie uko wapi!
 
Me nipo mwanza nauza nokia x2 iyo unayotaka bei n laki 1na 40 sema pungufu yako
 
Nokia X2 zipo za aina nyingi mnayozungumzia hapa ni ipo kuna ile yenye keyboard ya qwert na ila ya kawaida.
 
Mimi nipo hapa Kalangalala,Geita! Kama kuna mtu anauza simu aina ya X2 tujulishane,natafuta ya kununua(used)! Kama inapatikana ,naomba kujulishwa kwa nambari 0759947397
Kwanini ununue used? tuma pesa kwa MPESA 75000 tu na unipe jina la ndugu yako Dar nakutumia mpya juma pili bora utume hiyom pesa kwa mke wangu kupitia nmb hii 0719706017 mwambie mumeo Mike anasema anaweza nitumia cm mpya nikituma jhiyo hela, nipo nje nakuhakikishia nitatuma,
 
Toa 130,000 nikuuzie, mie pia nipo Mwanza wilaya ya Misungwi. Kwa mawasiliano zaidi nichek kupitia 0752796133.
 
Back
Top Bottom