baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Aug 2, 2013 #1 Habari wakuu, natafuta wireless router ya kununua ambayo ina-support sim card zote. Kama unayo na unaizuza tafadhali usisite kunicheki kwa namba yangu 0655003510. Ahsanteni
Habari wakuu, natafuta wireless router ya kununua ambayo ina-support sim card zote. Kama unayo na unaizuza tafadhali usisite kunicheki kwa namba yangu 0655003510. Ahsanteni
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Aug 3, 2013 #2 mbona zinapatika kwa Wingi sana mkuu, tafuta DLink Dir 450 hata Dir 315, wewe unapatika mkoa gani kwani
mbona zinapatika kwa Wingi sana mkuu, tafuta DLink Dir 450 hata Dir 315, wewe unapatika mkoa gani kwani
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Aug 3, 2013 Thread starter #3 Niko mjini Daslam hapa. Kwa wingi sehemu gani mazeee?!