Wadau natafuta mno huo wimbo, nilikuwa nausikiliza sana nikiwa mdogo na enzi hizo Ukimwi ukiwa kwenye peak yake. Huu wimbo sijui uliimbwa na nani na nimejaribu kuusaka sana bila mafanikio. Mwenye nao please.
Watoto wako ni nani atatunza nauliza, Cheka lakini kabuli la kungoja.Nguo zako ni nani atavaaa nauliza.