B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Mwenye AUDIO ya wimbo wa "TAZAMA RAMANI UTAONA NCHI NZURI" anitumie hapa.
Au ni whatsupp kwa namba 0653 09 45 50. please namba sana.
Au ni whatsupp kwa namba 0653 09 45 50. please namba sana.
mwenye nao auweke hapa hata mimi nauhitaji
Please mwenye nao atusaidie wote aweke hapa.
Kwani primary ulisoma shule gani? Unaweza kuimba ukajirekodi si mbaya!