Natafuta Wholesalers Wa Mifuko (Plastic Bags)

Natafuta Wholesalers Wa Mifuko (Plastic Bags)

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,702
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mkazi wa dar...Nilikua natafuta wauzaji wa jumla wa mifuko (plastic bags) ya aina zote. Nilikua nataka kununua mzigo mkubwa kwa ajili ya matumizi yangu binafsi. Tafadhali kama kuna mtu ana ufahamu na hawa watu. Naomba mnijuze wapi ntawapata na bei zao ziko vp.

Barikiwa.
 
Back
Top Bottom