Naamini utawaapata tu muda si mrefu ndugu yangu, JF ni jungu kuu halikosi ukoko hapa kuna hadi wakaaji wa nchi za mbali ila wanajitambulisha kuwa wanaishi Njoro, Uchochoroni, Ndani ya kapu, etc etc. Ila mkifanikiwa muwe mnarudisha feedback basi wajameni