Natafuta wauzaji wa nyungo,vinu na miko

legezamwendo

Member
Aug 13, 2015
5
1
Habarini za asubuhi wapendwa!....natafuta mtu anayetengeneza au anayejua mtengenezaji Wa vinu,miko na nyungo....nataka kwa bei ya jumla .....kama yupo au unamfahamu naomba tuwasiliane kwa namba 0712823376
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom