Natafuta waunga bundle za halotel?

Then nenda kwenye settings then account and security ingia log out ingiza namba yako Kuna code au OTP zitaingia kwenye simu yako ingiza sikilizia dk mbili mzigo utasoma
hizi nzuri kwa ambao hawana hela
 
Kuna mwingine yupo hapa JF siku ya kwanza aliniuzia GB 10 kwa 10,000.
Siku ya 2 akanipa GB 8.5 kwa 10,000 aliniambia wamepandishiwa bei.
Nataka nifatilie tigo kinara plus nasikia bei imepoa kidogo.
kimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…