Natafuta watu hawa

MOSHIFST

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
136
Reaction score
268
Natafuta watu wanaojihusisha na usindikaji vyakula vya binadanu lakini,wameshindwa kupata usajiri TFDA,au wamekaguliwa lakini wakashindwa kufikia vigezo,au watu wanaotaka kuanzisha viwanda lakini hawajua wafuate njia vipi ili wafanikiwe....
Njoo inbox natakuelekeza njia za kufuata bure kabisa usajiriwe na ufanye biashara bila woga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…