harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuuHao wanaitwa mapaka shume hawafugiki kabisa, nilijaribu mmoja siku ile ile alitoka maana nilimfungia ndani nikakuta kachana waya wa mbu wa dirishani bila kumkuta dirishani akichana nisingeamini kwamba ni yeye
Duh, paka wa baharini tena!!!!! Huyo paka ukimpata anaweza kukwambia OYAAH, MIMI NA KITIMOTO HATUIVI KABISAAAAAAAAAKama huko dar nenda bahari beach hotel pale wapo wengi sana ..... Yaani pale utapata aliye zaliwa juzi ,Jana hata aliye zaliwa Leo utapata tena bureeee bila malipo.......!!!
Hawajakonda, ni kma miez mitatu. Ila cjui jinsi ya kuakamata mama ao yupoWamekonda sana? Wana umri gani?
hahahaha alafu weweAre you looking for a pussy or a cat?
yalahI'm looking for that sweet thing which you always licking it
UcjaliNatafuta watoto wa paka.
Kama unao, naomba.
Kutoa ni moyo.
Paka sio nyama.
Naombeni jamani wafugaji
nitumie hao paka kwa M Pesa
[emoji96]yalah
Bila shaka huyo anatafuta pussyAre you looking for a pussy or a cat?
Nenda mabibo hostel, kule wanazaliana balaa..Natafuta watoto wa paka.
Kama unao, naomba.
Kutoa ni moyo.
Paka sio nyama.
Naombeni jamani wafugaji
Ila kiongozi unataka kuanza ushirikina?Natafuta watoto wa paka.
Kama unao, naomba.
Kutoa ni moyo.
Paka sio nyama.
Naombeni jamani wafugaji
ushirikina wa kushirikiana Na Nani?Ila kiongozi unataka kuanza ushirikina?