Natafuta watengenezaji wa interlock brick machine

Joined
Jan 6, 2015
Posts
18
Reaction score
2
Ninampango wa kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza matofali kwa bei nafuu kwa kutumia technology ya ya hydraform, kwa upande wa huku arusha sijajua nawapata wapi hawa wataalum wa kutengeneza mashine hizi.kwa anayefahamu naomba anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…