M mzalendo wa iran Member Joined Jun 20, 2016 Posts 97 Reaction score 106 Dec 19, 2017 #1 Wakuu najishugurisha na kilimo cha uyoga hivyo ninao wakutosha natafuta soko mwenye uhitaji anipm ninao wakutosha soon naweka picha hapa.
Wakuu najishugurisha na kilimo cha uyoga hivyo ninao wakutosha natafuta soko mwenye uhitaji anipm ninao wakutosha soon naweka picha hapa.
MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,052 Reaction score 749 Dec 19, 2017 #2 Tupia picha na mahali ulipo
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,445 Reaction score 110,091 Dec 19, 2017 #3 Niagizie wa kuhonja tu kilo 5 nipo Kigoma huku.. 😀😀
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,769 Dec 19, 2017 #4 Kapicha plz ...nimekulaga uyoga zamani mnoo
Wernery G Kapinga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 381 Reaction score 131 Dec 19, 2017 #5 Hiyo picha ni ngumu kuaplodika....???
N ndeambase JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 626 Reaction score 313 Dec 19, 2017 #6 Weka bei kiongozi
Stunt Senior Member Joined Nov 24, 2017 Posts 134 Reaction score 150 Dec 19, 2017 #7 Kwa dunia ya sasa Huo uyoga inabidi useme "unaongeza nguvu za kiume na makalio kwa kina Dada" I guarantee, you'll thank me later...!!!
Kwa dunia ya sasa Huo uyoga inabidi useme "unaongeza nguvu za kiume na makalio kwa kina Dada" I guarantee, you'll thank me later...!!!
U Udart JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 481 Reaction score 749 Dec 19, 2017 #8 Stunt said: Kwa dunia ya sasa Huo uyoga inabidi useme "unaongeza nguvu za kiume na makalio kwa kina Dada" I guarantee, you'll thank me later...!!! Click to expand... hahahaha we lijamaa kiboko....
Stunt said: Kwa dunia ya sasa Huo uyoga inabidi useme "unaongeza nguvu za kiume na makalio kwa kina Dada" I guarantee, you'll thank me later...!!! Click to expand... hahahaha we lijamaa kiboko....
M Muhsiniina JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 319 Reaction score 232 Dec 20, 2017 #9 isaya wa njombe said: Wakuu najishugurisha na kilimo cha uyoga hivyo ninao wakutosha natafuta soko mwenye uhitaji anipm ninao wakutosha soon naweka picha hapa. Click to expand... Ungesubiri upige picha na maelezo ya kina. Halafu jifunze ku-advertise ni sehemu muhimu ya biashara, toa aina za uyoga ulizonazo na picha, faida zake, unauza sh ngapi/package, unapatikana wapi etc
isaya wa njombe said: Wakuu najishugurisha na kilimo cha uyoga hivyo ninao wakutosha natafuta soko mwenye uhitaji anipm ninao wakutosha soon naweka picha hapa. Click to expand... Ungesubiri upige picha na maelezo ya kina. Halafu jifunze ku-advertise ni sehemu muhimu ya biashara, toa aina za uyoga ulizonazo na picha, faida zake, unauza sh ngapi/package, unapatikana wapi etc
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,661 Reaction score 21,395 Dec 22, 2017 #10 Soon from African people
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,479 Reaction score 11,671 Dec 22, 2017 #11 Picha basi