Jackson nyamhanga sambai
Senior Member
- Apr 25, 2018
- 101
- 48
Huo mchele n ule super kabsa1300/kg
Ni logo tu kama logo zingine kaka au we unajua inamaanisha niniMkuu, hiyo picha hapo kwenye kifungashio cha mchelewako, inamahusiano gani na mchele unao uuza?
Na je, ni picha ya nini hiyo?
Samahani nimetoka nje ya mada mkuu.View attachment 804999
Ingependeza kama ungeweka logo inayo endana na bidhaa ama jina la kampuni yako.Ni logo tu kama logo zingine kaka au we unajua inamaanisha nini
Umemwambia ukweliIngependeza kama ungeweka logo inayo endana na bidhaa ama jina la kampuni yako.
Lakini nakushauri ubadilishe hiyo picha hapo, maana ina akisi kitu kngine tofauti kabisa na biashara/bidhaa yako
Naam shekhKama hivyo mkuuView attachment 805904
Mpanda hotelMchele wako unakoboloea Makanygio,Majengo,kashaulili au Mpanda Hoteli?