Natafuta wateja wa Mbolea ya Kuku.

Natafuta wateja wa Mbolea ya Kuku.

Jojune

Senior Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
111
Reaction score
82
Za mchana..
Nauza Mbolea ya Kuku, IPO kwa wingi Sana, napatikana Kigamboni Kwa Mwingira Mjimwema..
Kwa mawasiliano Tafadhari wasiliana nami kupitia 0786 647564 au 0674 050550..
Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mkuu,
Nakushauri endelea kuzalisha/ kukusanya hiyo mbolea ya kuku; kadri inavyokaa inakuwa bora zaidi. Hii itakuwa fursa kwako baadae Kwa wawekezaji wakubwa itakapohitajika Kwa wingi.

Lakini pia, kwa sasa akija jirani yako, akakuomba mbolea, mwambie niletee pumba ili kuku chakula chao kitokane na mbolea na mradi wako kujiendesha wenyewe; kwa wale wanahitaji debe la mbolea na hawana pumba/chakula cha kuku chukua pesa Kwa ajili ya Dr wa mifugo na matumizi mengine.

Asante Sana kwa ushauri ndugu.. Japo mpk sasa ni nyingi Sana, sio chini ya Tani 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom