Natafuta wateja wa biashara ya maharage

Natafuta wateja wa biashara ya maharage

AMO MTAFUTAJI

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
15
Reaction score
5
Jamani naomba msaada wenu ninabiashara ya maharage je nfanyeje ili kupata wateja katka sehemu za mashule hapa kahama mjini naomba msaada wenu wadau asanteni sana.
 
Jaribuni kutengeneza connection nzuri na mama lishe Wa maeneo ya mashule..naamini utawapata tuu
 
Unatakiwa ufanye market survey( utembelee mashule na kuzungumuza na wahusika kama mnaweza kufanya biashara nao) , tembelea mama ntilie, wenye maduka ya lejareja, jaribu kuchukuwa mawasiliano ya watu wanaofanya kazi ya upishi kwenye sherehe, vyuoni kama kuna vyuo hayo maeneo husika una uweza pata soko zuri tu:
 
Kama unahitaji mkuu nitext ninayo ninauza kwa shilingi 800 kilo kwa bei ya jumla
Uko wapi?

Maharage ya aina gani?

Dar unaweza kutuma mzigo kuanzia kilo ngapi?

Njia za malipo za kuaminika unazoweza kutumia kwa mtu wa dar ni zipi?

Kama hutojali weka namba zako za simu.
 
Uko wapi?

Maharage ya aina gani?

Dar unaweza kutuma mzigo kuanzia kilo ngapi?

Njia za malipo za kuaminika unazoweza kutumia kwa mtu wa dar ni zipi?

Kama hutojali weka namba zako za simu.
Nipo Geita, maharagwe ya njano ndio yanapatikana kwa bei hiyo Dar ninatuma kwa mtu anae chukua kuanzia tani moja na nusu kama unahitaji nitext whatsap kwa namba 0628944712
 
Back
Top Bottom