ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
heshima yenu wakuu nimefanikiwa kupata vijinoti nikaona bora na mie nitafute banda la kujificha pamoja na wanaonizunguka,, hela yenyewe ya kuunga unga aise nilinunua bati za msauzi nikampa fundi kumbe hakuwa na utaalamu nazo hivyo akaniharibia kanitia hasara kama, kuna mtu anamjua mtaalamu wa kupauwa bati la msauz ani pm asiwe wale wa bei za contractors kwani najenga kwenye squatters angalia kiambatanisho