hongera
je unaweza wagharamia gharamaza nauli na malipo yao kama watatoka dar?
pls nijibu
mm ni mtoa huduma wa kutengeneza kadi za harusi za mwaliko, mchango pia ni mtaalamu wa kutengeneza keki na vilevile ni MC kwenye sherehe mbalimbali hivyo usisite kuwasiliana nami kwa huduma hizo asante nipm
Habari ndugu,mimi nipo Arusha,shughuli zangu kama jina linavyojieleza,maeneo ya jirani na Arusha tunaenda sana usihofu,kwa huduma za mc,muziki na tarumbeta tuwasiliane kwa pm!Karibu sana
Habari ndugu,mimi nipo Arusha,shughuli zangu kama jina linavyojieleza,maeneo ya jirani na Arusha tunaenda sana usihofu,kwa huduma za mc,muziki na tarumbeta tuwasiliane kwa pm!Karibu sana