Natafuta wapi nitapata wanauza viatu vya kazini vizuri

Natafuta wapi nitapata wanauza viatu vya kazini vizuri

Anko Elly

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
69
Reaction score
70
Hamjambo wakuu, bila kupoteza muda nahitaji kujua wapi nitapata duka linalouza hizi Staff Moka za kisasa nilizoambatanisha picha zake hapo chini.

Zingatie bei iwe nafuu na sio bei zile za Mlimani City, Mayfair, au Msasani mall.

Kama kuna mtu anauza kwa bei nafuu anifate INBOX sasa hivi. Budget yangu inacheza kwenye Tsh150k - 200k.
 
Attachments

  • Suit12.jpg
    Suit12.jpg
    50.7 KB · Views: 98
  • Suit10.jpg
    Suit10.jpg
    28 KB · Views: 93
hamjambo wakuu, bila kupoteza muda nahitaji kujua wapi nitapata duka linalouza hizi Staff Moka za kisasa nilizoambatanisha picha zake hapo chini.

Zingatie bei iwe nafuu na sio bei zile za Mlimani City, Mayfair, au Msasani mall.

Kama kuna mtu anauza kwa bei nafuu anifate INBOX sasa hivi. Budget yangu inacheza kwenye Tsh150k - 200k.
Ina maana kwa bajeti hio mlimani city,mayfair,msasani mall hupati viatu?
 
Kuna jamaa wanaitwa Woiso wanauza viatu vizuri vya ngozi pure. Kiwanda chao kiko Salasala. Wana duka Salasala hapo kiwandani na K/koo. Bei zao ni around Tsh. 38,000 hadi 45,000. Sole ikiisha kama ngozi bado inavutia unarudisha kiwandani wanakuwekea nyingine na wanakinyoosha upya. Alternatively, kama huwa una safari za Arusha, ununue vile vya Waethiopia vinatoka Nairobi.
 
Back
Top Bottom