Natafuta Wapangaji wa Stockyard

Natafuta Wapangaji wa Stockyard

vinkg

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
15
Reaction score
14
Natafuta wapangaji wawili tofauti wa stockyard yangu pembezoni mwa ukuta (cement bricks) ya nyumba yangu Sinza A (karibu nakituo cha bus kwa Remi) off Sheikhlango road
PANAFAA BIASHARA YA:
1. Kuuza mbao na mirunda rejareja na jumla kuchana na kuranda mbao kwa machine, steel hardware, vifaa vya ujenzi, mabomba, seremara nk
2. Workshop ya kuchonga furniture za mbao na vyuma, km vitanda, kabati, milango na madirisha, mageti ya kisasa,grill nk
ENEO LILIPO
Njiapanda ya barabara ya sheikhlango naingine iendayo mlimani city. Pamezungukwa na garage kubwa, mafundi wa majiko, seremara, pia kuna sehemu kubwa ya kuonyesha/tangaza/display finished goods, access to road kupakia/pakua mizigo. Biashara ya mbao sheikhlango road ni adimu
KODI
Laki mbili kwa mwezi. Malipo miezi 6 advance
GHARAMA ZINGINE NDOGO

Kukarabati kidogo miundombinu iendane na biashara yako km kuweka racks, turubai/shed mbao zisinyeshewe au kupigwa jua, machine za umeme kuchana nakuranda mbao, ulinzj nk
MAWASILIANO
kwa private message (pm)
kwa simu tigo 0672 355 824
voda 0754 639 615 saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni
karibuni changamkieni fursa
 
Back
Top Bottom