Binafsi nahitaji lakini sio kiasi kingi (2-5 liters), ni kwa amtumizi ya nyumbani ila kama haijachakachuliwa na kama ni mbichi. Waweza kuni-pm ukaniambia unapopatikana au namba za simu.
Hujaeleweka mkuu, weka details za kushawishi na kumwelewesha mteja wako, uko wapi na unapatikanaje? hiyo jumla ikoje yaani maximum and minimum ni ipi? je ni asali ipi nyuki wadogo au wakubwa? bei ikoje??...
Mkuu funguka, Unayo kiasi gani, unauza bei gani, ni ya nyuki wadogo au wakubwa, ni mbichi au imepikwa, na wewe unapatikana wapi, weka contact zako ikibidi