Habari, kama kichwa cha habari kinavyojielezea natafuta watu wanaotaka kujifunza web development and design kwa mkoa wa dodoma ntatoa training kwa bei ndogo sana lengo ni kuwasaidia.
Kutakuwa kuna level tatu
1: Beginners
2: Intermediate
3: Advance
Kila mwanafunz inamgalimu kuwa na laptop yake mwenyewe.
Kwa mawasiliano piga
0652247221. Au nichek whatsapp
Asanteni sana...