R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,311 Reaction score 2,196 Aug 3, 2018 #1 Habari wakuu. Kama kuna mkulima wa zao la Hops naomba tuwasiliane hapa 0786817145 au 0768734611
katib mkoa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,574 Reaction score 2,167 Aug 4, 2018 #2 Hops ni nini mkuu?
T TIBIM JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 8,010 Reaction score 7,969 Aug 4, 2018 #3 Tuma Picha ya zO
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,186 Aug 4, 2018 #4 katib mkoa said: Hops ni nini mkuu? Click to expand... Kiungo cha bia
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,186 Aug 4, 2018 #5 raslimali said: Habari wakuu. Kama kuna mkulima wa zao la Hops naomba tuwasiliane hapa 0786817145 au 0768734611 Click to expand... Mkuu hilo zao halilimwi bongo na mpaka sasa sijui kwanini. Hata hivyo itakupaswa ujue unalima hops ya aina gani ili uendane na mahitaji ya soko la hapa. Pia kulilima sio tabu, bali kiwanda cha kuisindika na kuifanya kutumika ktk bia.
raslimali said: Habari wakuu. Kama kuna mkulima wa zao la Hops naomba tuwasiliane hapa 0786817145 au 0768734611 Click to expand... Mkuu hilo zao halilimwi bongo na mpaka sasa sijui kwanini. Hata hivyo itakupaswa ujue unalima hops ya aina gani ili uendane na mahitaji ya soko la hapa. Pia kulilima sio tabu, bali kiwanda cha kuisindika na kuifanya kutumika ktk bia.
madindigwa JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 2,498 Reaction score 2,927 Aug 4, 2018 #6 Ndio zao ganj
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,311 Reaction score 2,196 Aug 5, 2018 Thread starter #7 General Mangi said: Mkuu hilo zao halilimwi bongo na mpaka sasa sijui kwanini. Hata hivyo itakupaswa ujue unalima hops ya aina gani ili uendane na mahitaji ya soko la hapa. Pia kulilima sio tabu, bali kiwanda cha kuisindika na kuifanya kutumika ktk bia. Click to expand... Nashukuru kwa majibu. Naambiwa kwamba hali ya hewa ya hapa haifai kwa kilimo hicho. Breweries wanaagiza kutoka South Africa. Nasikia Kenya wanajaribu kulima.
General Mangi said: Mkuu hilo zao halilimwi bongo na mpaka sasa sijui kwanini. Hata hivyo itakupaswa ujue unalima hops ya aina gani ili uendane na mahitaji ya soko la hapa. Pia kulilima sio tabu, bali kiwanda cha kuisindika na kuifanya kutumika ktk bia. Click to expand... Nashukuru kwa majibu. Naambiwa kwamba hali ya hewa ya hapa haifai kwa kilimo hicho. Breweries wanaagiza kutoka South Africa. Nasikia Kenya wanajaribu kulima.
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,770 Aug 5, 2018 #8 Huo mmea kuulima unahitajika uwe na vibali pamoja na soko la uhakika nje na ndani