Natafuta wafanyakazi

Natafuta wafanyakazi

kevin strootman

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,114
Reaction score
1,879
Nna mashine za kukamua juice za miwa 12, tano tayari zina watu hizo saba zilizobak natafuta vijana wachapakazi kila mmoja nimuweke kwenye mashine yake apige kazi, zote zipo Dar

TANZANIA YA VIWANDA
 
Mda wa kazi ni kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi?
 
Nna mashine za kukamua juice za miwa 12, tano tayari zina watu hizo saba zilizobak natafuta vijana wachapakazi kila mmoja nimuweke kwenye mashine yake apige kazi, zote zipo Dar

TANZANIA YA VIWANDA
how about
education and qualification
 
Mkuu kama hujamwita Waziri kuja kuzindua kiwanda chako nicheki nikufanyie mpango wa kupata mtu wa kukuzindulia kiwanda chako.
 
12:-4=3. Viwanda Vitatu tayari hapo. Aione Mwijage hii aongezee kwenye vile viwanda 3000 vilivyopo kwenye uzalishaji usiku na mchana bila kujali magumashi ya umeme.
 
Tena wewe unatakiwa upelekwe pale EPZ kabisa kama Mwekezaji mzalendo.
 
Hongera sana mkuu. Mungu akuongoze na biashara zako zizae matunda...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom