Natafuta wafanyakazi

Ninahitaji wafanyakazi wawili,
Jinsia ni Ke,
Umri kuanzia 18 hadi 30,
Kazi ni kuwapikia chakula mafundi site,

Mshahara ni elfu 50,
Eneo ni Zanzibar.

:Malazi na chakula nitagharamia.
Mawasiliano:
0772751757

Karibuni.
Sasa humu JF unawezaje kumpata mtu wa kumlipa 50,000/= kwa mwezi, hata kama ni dada/kaka mtu anawezaje kumshawishi kuja kufanya kazi kwa 50,000/= kwa mwezi !!! Nakushauri utafute anayeishi jirani na na hiyo site, halafu asiwe anashinda hapo siku nzima, akishapika anaondoka kwenda kufanya shughuli zake nyongie, kwa maana nyingine hiyo kazi inakuwa kama ni extra duty.
 
Mafundi wapo wangap ambao na wanakula nn ambacho mkeo kashindwa kuwapikia mpaka wapikiwe kwa 100,000?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom