Natafuta wafanyakazi

Natafuta wafanyakazi

Joyce Faby

Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
5
Reaction score
2
Ninahitaji wafanyakazi wawili,
Jinsia ni Ke,
Umri kuanzia 18 hadi 30,
Kazi ni kuwapikia chakula mafundi site,

Mshahara ni elfu 50,
Eneo ni Zanzibar.

:Malazi na chakula nitagharamia.
Mawasiliano:
0772751757

Karibuni.
 
ID mpya inatafuta wafanyakazi
Kazi gani?
 
mpumbavu wewee kazi ya kuwa zulumu wenzio uwalipe 50 ndo unaitangaza humu
 
Mkuu unafahamu kima cha chini cha mshahara?
 
Unajitahidi kuwakwamua wenzako lakini kwa io hela hapana sishauri mtu, hata muokota machupa anaondoka na f5+ kwa siku
 
Hiyo hela unanunua jeans moja tu pale Pambaika.. Ila hakuna namna...

Mtafute hyu member kivyako kwa hilo dau najua ataingia mzingoni
 
Unatumia usafiri gani haaaa ina maana zenji matajiri sana hadi hakuna vibarua. Acha kuzuga humu jf unawapata hao wa elf 50 au vepeee
 
Gharama za maji, umeme, chakula, malazi yote ni juu yangu, okay nitalipa 60,000...
 
Back
Top Bottom