Natafuta wafadhili wa Masmo

Natafuta wafadhili wa Masmo

BISHANGA AM

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
15
Reaction score
7
Habari zenu ndugu zangu..Naomba ushauri,Mawazo,Msaada wa namna ya kupata ufadhili wa masomo...Nimepata admission ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa fani ya Master of Business Administration - MBA) inayoanza mwezi huu November.Hali ya fedha imekuwa ngumu kumudu masomo...Wakuu naombeni ushauri wa namna ya kupata msaada kutoka taasisi ama mashirika juu ya ufadhili...
 
Back
Top Bottom