Wanakuja mkuu usisahau mrejeshoMasister duuu zangu aisee mimi nimetoka manyara mererani nimeuza vyangu nimepata pesa ila sina demu wa kula nae maisha kwa iyo kama kuna msichana yuko tayar kula vyangu nami nile vyake aje pm aisee sichagui umri,rangi,kabila ila weusi watapewa kipaumbele
Wew kwa swaga hizo we mgeni mjiniHapana gari la mkaa liliniacha nikapata lift kwenye ndege ya makomandoo ile ya 9 december
Ngoja wanase, Mtego mzur sana.Masister duuu zangu aisee mimi nimetoka manyara mererani nimeuza vyangu nimepata pesa ila sina demu wa kula nae maisha kwa iyo kama kuna msichana yuko tayar kula vyangu nami nile vyake aje pm aisee sichagui umri,rangi,kabila ila weusi watapewa kipaumbele
bado nawasubir nafasi bado iko wazi
Wanajijua wenyewe.Kama nani mwenye pesa hajajitangaza
Nina shaka sana na ujio wako mjini,ila nikukumbushe kutumia KONDOMU,alafu ukishampata safir nae kujionea miji mikuu ya mikoaMjini nimezaliwa nikakulia jijini karibu sana