Natafuta wa kumuita rafiki wa karibu

Natafuta wa kumuita rafiki wa karibu

Ibn bahlul

Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Habari wana jamii forums.
Napenda kuwasilisha pendekezo, kwani mimi ni kijana wa miaka isiyozidi 20 peace.Natafuta wa kumuita rafiki wa karibu.
 
Sawa.......unataka kuanzia lini........?
 
Dogo anataka yule wa kumuita rafiki wa karibu na sio rafiki wa karibu.

Nyie kizazi cha div5 mna vituko sana!
 
Habari wana jamii forums.
Napenda kuwasilisha pendekezo, kwani mimi ni kijana wa miaka isiyozidi 20 peace.Natafuta wa kumuita rafiki wa karibu.

Sasa Utamkaribishia Wapi? Kwa Nyuma au Kwa Mbele?
 
Duh, Miaka isiyo zidi ishirini,humu wako wachache sanaaaa,ebu ongeza kidogo umri.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom