Natafuta vumbi la Kongo

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,664
Wakuu mwenye vumbi.la Kongo anione pm. Nahitaji sana...
Nitampa laki bila kipingamizi.
 
Kama hujaoa na namvua hizi unakosa mambo mazuri ? Ukopande za wapi nicheki kama mshkaji kajanalo tufanye biashara
 
Nina wake 2 sasa hizi kazi za siku hizi stress tupu...
Kula vyakula vya asili tu mzee baba hayo madawa mwisho wa siku uwezo wako unaisha kabisa tengeneza ratiba kidogo ya kula vyakula vya lishe karanga, mhogo mbichi,asali,tende, karoti, maziwa mtindi kidogo ukitumia hyo aiseee hutotaka tena vumbi LA Kongo.

Na pia wanawake wa siku hz wanabaki kulalamika tu kwamba nguvu za kiume za waume zetu ni ndogo lakin wao wanapaswa kujua na kukuandalia lishe bora ili uwe Mara dufu zaid katika tendo
 
tatizo wanapiga pass ndefu, mchana wengi hawali,,
 
Ubaya wa vumbi la Congo kichwa kikipata ganzi hisia zinaondoka kabisa utapiga mpaka unachoka
 
zibueni kwanza mirija ya mashine, paip inajaa uchafu....afu kama hamjui hizo taka taka congo ni 500 tu...kuna maboya nilikuwa nawaletea hina afu kesho yake wanaisifu, mambo mengine haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…